Psalms 78:30-31


30 aKabla hawajamaliza kula walichokitamani,
hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao,

31 bhasira ya Mungu ikawaka juu yao,
akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao,
akiwaangusha vijana wa Israeli.

Copyright information for SwhKC